Sauti ya Gombo

                                S. G . I . M

Ifahamu Sauti Ya Gombo International Ministries.               

Yaliyomo

Dibaji

Shukrani

Utangulizi

Sura Ya Kwanza 1.

Ufafanuzi Wa Jina La Huduma. S G I M

Jina La Sauti Ya Gombo International Ministries, Ni Jina Ambalo Limetokana Na Mwanzilishi Aliyepewa Maono Haya Yenye Msingi Wa Unabii Wa Nabii Ezekieli.Ezekieli 3:1-3.

Sura Ya Pili 2.

Mwanzilishi Na Mwandishi Wa S.G. I.M.

Sura Ya Tatu 3.

Idara Za Sauti Ya Gombo S.G .I. M

1.Idara ya Maadibisho ya Kikristo.Elimu ya Biblia.

2.Idara ya Injili

3.Idara ya Vijana.

4.Idara ya Maendeleo

5.Idara ya Fedha.

THE MINISTRY ADMINISTRATION LEVELS.

·      International Council.

·      National Council.

·      Regional Council.

·      Divisinol Council

·      Local Council.

DEPARTMENTS OF MINISTRY

·      The Partment  Of  Evanglism

·      The Partment  Of  Rectification In Jesus.

·      The Partment  Of  Developments

·      The Partment  Of  Finance.

·      The Parment  Of  Women

·      The Partment  Of  Teens ( Youth) and so 


.   Sura Ya Nne 4

Uongozi Wa Sauti Ya Gombo International Ministries

Sura Ya Tano 5.

Sauti Ya Gombo Inavyofanya Kazi.

Sauti Ya Gombo International Ministries,Inafanya Kazi Ya Kuhubiri Na Kufundisha Neno La Mungu Kwa Njia Ya Semina Kupitia Redio Na Television Na Vitabu Vinavyoandikwa Na Kuchapishwa Na  S.G.I.M Pamoja Na Vitabu Vya Waandishi Wengine Vinavyokizi Mahitaji Ya S.G.I.M.Na Tuna Hubiri Na Kufundisha Mtandaoni Na Ndani Ya Makanisa Mbalimbali Bila Kubagua Imani Na Itikadi Za Kidini.Sauti Ya Gombo Inadumu Katika  Kuelimisha Kukuza Na Kuwezesha Wafuatao.

·      Akinamama Kanisani.

·      Vijana Wa Kanisani Na Wa Mtaani.

·      Watoto Wa Kike Kujiebusha Na Mimba Za Mapema.

·      Walemavu Wa Aina Yote.

·      Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Magumu.

·      Wajane Na Wa Gane Wenye Umri Wa Miaka 60-

·      Watoto Yatima.

·      Kuandaa Watumishi Na Viongozi Wa Baadaye.

·      Kukuza Watumishi Viongozi Waliopo Kanisani.

·      Kuwezesha Watumishi Na Viongozi Kiuchumi.

·      Kusaidia Ujenzi Wa Makanisa Ya Vijijini.

Sura Ya Sita 6.

Action Plan ( Tagets) Of Sauti Ya Gombo.

A.THE SPIRITUAL DEVELOPMENTS

In spiritual development we are targeting to do the following.

1.  We shall preach the gospel fo Jesus Christ anywhere in order to pen and plant church,in order for the gospel of Jesus Christ to be reached all over the world.

2.  We shall teach the church in order to be complete in servant hood.

3.  We shall enhance and go more forward with our call,with our leaders and our servants including our members in the church in order for the church to be complete,

4.  We shall send our leaders and our servants to our churches in the country and outsite country if demands come.

5.  Our leaders shall be elected after a certain term.

6.  We shall cooperate with other churches ministries some as that of our beliefs.

B: DEVELOPMENTS IN COMMUNITY

In community we are expecting to do this.

·      We shall build the church.

·      We shall build the schools.

·      We shall build the bible collegers.

·      We shall build dispensaries and hospitals.

·   We shall build of ophanages and places for living of toilling children.

·    We shall support and provide for the disable e.g widows,and  the sicks people.

·    We shall attend the prisoners in order to give them the word of God and also give them phisical gifts.

·    We shall buy instruments an take them in our locall churches and to all crusades.

· We shall buy properties vehicles,motot,cycles,buy and possible boats in order to make our travel easite for taking the gosple.

·     We shall be able to our servants spiritually and physicaiiy.

·      We shall provide for our children to be able in knowledge and even the old do not how write and read.

THE PROJECTS INTO THE MINISTRY                                In these we shall make the different projects

·      We shall open the schools or the centers for computer

·      Computer training centers.

·      Internet cafe.

·      Stationeries.

·      Selling the stationaries commodities.

·      Tailoring centers

·      Houses for rents

·      Guest houses

·      Radio and Television center.

·      Lands for planting.

·      Projecties for fisheries.

·      Cars for business

·      Shops

·      The different livestock

·      Nusery schools

·      Primary shools

·      Scondary schools

·      Intenational schools.

Sura Ya Saba 7.

Wadau Wa Sauti Ya Gombo International Ministries

Sura Ya Nane 8.

Maazimio (Action Plan) S.G.I.M

Sura Ya Tisa. 9.

Katiba Sheria Na Kanuni Za S.G.I.M

 


No comments:

Post a Comment

UONGOZI BORA WA KIROHO

Sauti Ya Gombo International Ministries Network KIONGOZI BORA WA KIROHO BISHOP: RHOBINSON S.BAIYE YALIYOMO: 1.Maana...