Consulting

Ushaurinasaa.Ushaurinasaa ni neno ambalo linabeba maneno mawili muhimu.1 Ushauri,ukimaanisha maoni yanayotolewa kwa mtu ili yamsaidie kupata suluhuhisho fulani. Ni maelezo ya kitaalamu yanayotolewa kwa mtu kumwezesha kufanya jambo fulani.2 Nasaa ni neno lenye maana ya mawaidha,mashauri au mwongozo mzuri katika jambo fulaniSautiya Gombo international ministries,imekukaribisha na kukutakia usomaji wa uwelewa mwema katika chumba hiki cha kukupa ushaurinasaa.

1.Bado sijashindwa bali nimepata njia 1000 ambazo hazijafanya kazi

2.Fanya maamuzi yaliyo sahihi na sio kwa sababu ya urahisi au umaarufu.

3.Fukuzia kitu  kinachoteka moyo wako na kinachoshika macho yako.

4.Jiamini mwenyewe,kwa kuwa wewe ni jasiri,mwerevu na una uwezo wa mambo makubwa kuliko unavyofikiri.



No comments:

Post a Comment

UONGOZI BORA WA KIROHO

Sauti Ya Gombo International Ministries Network KIONGOZI BORA WA KIROHO BISHOP: RHOBINSON S.BAIYE YALIYOMO: 1.Maana...