Yafahamu Mambo Kumi Muhimu
1.Kanisa kudumu katika upendo wa ki-Mungu.
2.Kanisa kudumu katika umoja wa ki-Mungu.
3.Kanisa kudumu katika mshikamano wa ki-Mungu
4.Kanisa kudumu katika maombi ya ki-Mungu.
5.Kanisa kudumu katika imani thabiti.
6.Kanisa kuwa na mfumo unaofaa.
7.Kanisa kumiliki na kutawala uchumi mkubwa.
8.Kanisa kuwa na mtazamo chanya kuhusu nyakati.
9.Kanisa kuwa na maono yenye mwelekeo bora.
10.Kanisa na uwajibikaji.
11:Kanisa na Elimu
12:Manisa na Nidhamu
Nb/ haya yote tutayatafakari na kufafanua moja baada ya nyigine.Lakini unanafasi ya kupendekeza mada ambayo unayohitaji zaidi kwa muda wako.Nami nitaeleza kwa faida ya wote.Blog hii inapatikana kwa jina
Bishop:Rhobinson Saleh Baiye.
rhobinsons.blogspot.com.
Whatsapp: 0764127531
E-mail:rhobinsonsaleh1@gmail.com
Sauti Ya Gombo International Ministries
Mwanza Tanzania.
Bwana asifiwe sana baba askofu, ubarikiwe sana kwa maono hayo Jina la Bwana lihimidiwe, watu wa Mungu watajengwa kiroho, Mungu afanikishe kazi njema ya kuujenga ufalme wa Mungu.
ReplyDelete